Location (Mahali Tulipo)
Shule ya Sekondari ya TEMBONI ipo katika kata ya Saranga, Tarafa ya Ubungo, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam. Shule hii ipo umbali wa kilometa 1.2 kutoka barabara kuu iendayo Morogoro upande wa Kushoto ukitokea Kimara. Njia rahisi kwa kufika shuleni ni kushuka kituo cha mabasi cha Temboni na Unaweza Kufuata Barabara ya Lami inayoelekea Saranga, Kunja Kushoto baada ya Kufika Mwisho wa Lami na utaona vibao vitakavyo kuelekeza hapa Shuleni